Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU ;Mchanganyiko wa Matukio.

Abdulrazak Majid kushoto mtangazaji 88.5 Kasibante Fm Radio na Abdulrahim (DJ RAY)Linas Club&Kasibante Radio kama walivyo kutana na Camera yetu usiku wa jana.
Picha ya juu Mdau Asimwe akikata mauno ,Picha ya pili wanaharakati wakifatilia kwa ukaribu
Kitu Mbandule,aka (kalinya)wadau pande za Kashasha Kiziba (gera)
Camera ya wadau ikikatiza pande za Kashasha hii ni katika kujikita zaidi kufatilia matukio.
Nshomile watata ile mbaya!! Lexus ni Tax bubu uko Kanyigo
Mdau pichani ni Mr Kabaijo
Kadanke Clein (kulia)akiwa katulia mitaa ya Migeyo

Mpambaji Maarufu Mama Matungwa
Kushoto ni Mdau Godfrey Mwemezi na Mdau Bushira katika pitapita zao.
Mdau Masud Kamala akiwa kikazi zaidi
Hajat Nusura Nuru kushoto,Binti Ismail wa Kanyigo na Bi Nurath Nuru kama walivyo kutwa na Camera yetu hii leo.
Mwonekano wa Bi Betty Lweyendela katika sherehe moja na Bi Mainda Kassimu
Next Post Previous Post
Bukobawadau