Bukobawadau

LIVE: HOPE KASIMBAZI AFANYIWA KAPU LA MAMA;Shughuli inaendelea usiku huu club linaz,Akina Mama Wajimwaya si Kawaida....hii ni Zaidi ya sana

Bi Hope Kazimbazi akikata Utepe kuingia Ukumbini,na kushoto ni Mpambe wake Bi Lilian Peter(mwise)
Shughuli hii inaendelea hivi sasa ndani ya Ukumbi wa linaz Night Club

Namna Bi Hope alivyo furahia kufika hatua hii,hapa anaonyesha ujuzi wa kukata Nyonga mambo haya yanaendana tukio zima
Dada Beatrice katika pozy la kipekee usiku wa leo
Mtoko wa Khanga moko unaendana na tukio lenyewe
Wamewaka,wamependeza,wamesima si pole pole wamejipanga wakisubilia maelekezo kutoka kwa Mc mwendesha shughuli mama Stivin kutoka Jijini Mwanza
Wasindikizaji wapambe wa Bi hope Kazimbazi wakiwa kivingine kabisa.
Hatua ya mwanzoni katika kumsindikiza Bi harusi mtalajiwa
Kwa raha zao wanawake wa Bukoba katika shangwe za kumkaribisha Bi Hope Kasimbazi kwenye Chama cha walala miguu minne.
Mwenyekiti wa kamati akifungua shughuli kwa Kumtangukliza Mungu Baba

Mwanadada huyu alionekana kuvutiwa na kile kinacho kinaendelea.
Vidole vitatu hewani ,mambo ya kijiba cha roho yakitawala usiku huu
Jirani yangu kabisa Bi Mainda Kassim akionyesha kuguswa na mashairi ya wimbo ulio kuwa ukiendelea hewani
Wadau kwa raha zao na nafsi zao
Bi Maganga akifatilia tukio kwa ukaribu
Sehemu ya Zawadi kutoka kwa Mama Hope (Mrs Kasimbazi)
Mama Hope akitoa zawadi kwa mwanae(zawadi za matumizi ya ndani)
Shughuli hii imeongoza na Mc Mahili Mama Stivin kutoka jijini Mwanza.
Bi Sima na Bi Hoyce Wageni waalikwa
Mama husina,(hawa),mama Moha nao pia ni sehemu ya waalikwa
Hii nibukobawadau blogspot
kwa matukio na habari za kila siku
wasiliana nasi kupitia email yetu

Bi Happy Kichemu na Bi Asimwe.
Mlangoni kajipanga Bi Rukia
Mdau Jeniveva naye Ndani.
Unaambiwa Ungo Upepetwa kwa Mbele ndivyo wasemavyo wadau kulia ni Rehema Maganga maarufu kama Mama shughuli
Wakati shughuli inaendelea na wageni wanazidi kumiminika ukumbini pichani ni Mama Rahim(Lilian)
Kulia Bi Amina Mama Lifat na Bi Lilian Mama Rahim
Hii hapa lazima mtu kujibeba ndivyo alivyo ninongoneza Bi Asimwe
Mc Mama Stivin akimwambia Hope kwamba asije akafanya kosa akaacha Mwichi kwenye kinu.
Wadau picha ya pamoja kulia ni Mrs Gama
Hama kwa hakika kazi ya kuabalisha yataka moyo
Kitchen Party mambo ni mengi mdau
Pichani ni Mama Kalikawe
Ndembendembe ndani ya kanga Mok'O!!
Ikafika wasaa wa Hope kumpa Zawadi Mama mzazi
Hapo anamshkuru mama kwa malezi bora na kumfikisha hapa hii leo
Ameongea kwa hisia,busara nyingi sana sambamba na hali ya kujiamini
Na amesema hili ni tukio la kihistoria kwake alikadhalika kwa wadau walio hudhulia
Zawadi yake ni Vifaa vya Urembo vya Dhahabu vyenye thamani ya Milioni mbili.

Kushoto ni Happy Kasimbazi na Mama Palvin wakielekea kutoa zawadi kwa bi harusi mtalajiwa.

-Hapa watu walijipanga vizuri sana,vifaa vya thamani vimetolewa.

-ukobawadau tunasikitika hatutaweza kuweka matukio yote kutokana na kile kilicho nje ya uwezo wetu.

-Ndg mdau hili upate tu kwa undani basi tizama video zetu kupitia blog hii na you tube hii ni katika kuweka uwiano sawa na wenzetu waliopo fikia.

-Toa maoni,ushauri na kwa Dada yetu hope kasimbazi

-Toa maoni ,ushauri na nini kifanyike kuhusiana na Blog yetu.
mdau usisite kugonga neno oldar post hili upate matukio ya Nyuma

Mdau Mama Chalse akitoa zawadi yake.
Akina Mama wakiendelea kutoa Zawadi na kumpongeza Bi harusi mtalajiwa.
Swaggar ni kutatanisha mwanzo mwisho
Tembelea bukobawadau kila siku kwa matukio ya hapa na pale

.
Next Post Previous Post
Bukobawadau