Bukobawadau

MATUKIO MUHIMU YA ZIARA YA MDAU MR. PAJERO NCHINI MAREKANI YENYE NIA YA KUTAFUTA WAWEKEZAJI KUJA BUKOBA .

Mr. Pajero, Mkurugenzi wa Perfect Investment Group, Bukoba akisalimia na Meya Msaidizi wa Mji wa Buffalo, Minnesota nchini Marekani. November 18 2011
Mr. Pajero--Managing Director of the Bukoba based Perfect Investment Group with Prof. Jeremy Newhouse during the Investment Meeting held in Minneapolis, Minnesota, USA on November 17, 2011
Mr. Pajero, Managing Director of the Bukoba based Perfect Investment Group heading to the meeting with Buffalo City Director, USA..

Bukobawadau tunapenda kuwashukuru wadau wote kwa kutupa ushirikiano.
Bukoba wadau tunakupongeza sana Ndg Alphonce Innocent(Pajero)kwa mchakato ulionao.
Next Post Previous Post
Bukobawadau