Bukobawadau

BREAKING NEWWWZ MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA DARASA LA SABA 2011 MKOANI KAGERA;Karume day&Boarding imekuwa ya kwanza Kiwilaya na ya kwanza Kimkoa na ya 6 Kitaifa.


Mkurugenzi wa Shule ya Karume Day&Boarding Mr Mkude

Viongozi wa shule picha ya pamoja na wahitimu wa darasa la saba.
Shule zilizofanya mtihani wa taifa Mkoani Kagera ni 984 na zilizofanya Kitaifa ni 15,050.

Mkoani Kagera shule ilioongoza ni KARUME DAY&BOARDING,Shule hii imekuwa ya kwanza kiwilaya na ya kwanza kimkoa kati ya shule 984.
Kitaifa imekuwa ya 6 kati ya shule 15,051.Shule ya Karume inaongozwa na Mkurugenzi Mr Mkude na kwa sasa inakaribisha wanafunzi wapya kwa mwaka 2012 kuanzia darasa la awali mpaka darasa la sita.

Fomu zinapatikana Karume Day&Boarding iliopo maeneo ya Nshambya au kituo cha shule kilichopo Kashai Matopeni.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga simu
+255 754 658055
+255 754 608324
+255 719 614155
Email;karumecenter@yahoo.co.uk

Utapata fomu kwa haraka sana
Uongozi wa Karume Day&Boarding unawakaribisha sana.
Katika hili Bukobawadau Blogspot tunawapongeza wanafunzi wote walio hitimu shuleni hapo na tunampongeza Mdau wetu Ndg Self Mkude.

Camera yetu ikiangaza mojawapo ya Jengo a shule kwa nyuma.
Shule na eneo kubwa la viwanja vya michezo mbalimbali
Hii yote ni katika kuweka usawa katika hitaji la elimu.
Eneo na mazingira ya shule ni kuvutio kwa wageni kutoka sehemu mbalimbali
Next Post Previous Post
Bukobawadau