Bukobawadau

BREAKING NEWZZZZZZZ;Sakata la mafuta mjini hapa ni kituo kimoja tu kinacho hudumia ni AMA FILLING STATION.

Hii inahusu mafuta ya Petrol
Hii ni hali halisi juu yasakata la mafuta mjini hapa mda huu ni kituo kimoja tu kinacho endelea kutoa huduma hii ni New Ama filling Station kilichopo machinjio ya zamani barabara ya Kashozi
Foleni ya magari mda huu kuelekea kituo cha mafuta.
Mda napost habari hii ,mtaani hali ni tete zaidi
Bukobawadau wajibu wetu ni kukujulisha wewe mda kila kinacho papo kwa papo.
Kama kuna habari au tukio lolote wasiliana nasi 0715 505043/0754 505043
Next Post Previous Post
Bukobawadau