Bukobawadau

KONGAMANO LA VIJANA WA CHADEMA MJINI BUKOBA CHINI YA MH. HARIMA MDEE (MBUNGE);Changamoto ni swala zima la Mswada wa Katiba na kile Chadema walicho Ongea na Mh.Rais Kikwete..

Mchokoza Mada Mh.Mdee Mbunge Jimbo la Kawe(Chadema)
Mbunge Viti Maalumu Bi Konchesta Rwamlaza
Bi Harima Mdee Mbunge Jicho la Kawe (Chadema)
Baadhi ya wadau waliojitokeza kwenye Kongamano hilo
Kushoto ni Mama Konchesta Mbunge viti maalum (chadema)Bukoba Mjini
Mdau Bi Happy aliyesimama dirishani akielezea changamote zinazo wakabili wanawake katika nyanja hii ya Siasa.
Mh. Mdee katika hali ya bashasha na Umakinifu akisikiliza hoja za wadau mbalimbali
Uongozi wa Vijana Chadema Ngazi ya Wilaya
Ndg Sherejei (kushoto)
Mr Peter David Kalikawe
Wadau wakipewa kile wasichokijua kutoka kwa mchokoza mada
Mh.Dismas Diwani Kata ya Rwamishenye ...akifunguka..
Mr Shelejei
Mwanahabari wa 98.0 Vision Fm Radio Bi Matrida akifanya ung'amzi wa yanajili
Mapendekezo mbalimbali kutoka kwa wadau
Nje ya Ukumbi wa St. Frances uliopo Miembeni Bukoba hali ilikuwa hivi
Ni kizazi cha David DK hapo anaonekana Ras Anold akijadili jambo na Mh.Mdee
Pamoja na hali ya mvua bado wadau walijitokeza
Mdau Ras Nold picha ya pamoja na Mh. Mdee
Next Post Previous Post
Bukobawadau