Bukobawadau

TRA KAGERA NDIO MABINGWA WA MICHUANO YA MIAKA 50 YA UHURU:Veteran Bukoba ni washindi Pili.

Wachezaji wa Veteran Bukoba wakiingia uwanjani kukabiliana na timu ya Waamuzi na makocha
Kikosi kamili cha timu ya Bukoba Veteran
Kikosi cha timu ya Mkocha.mchezo huo ulipelekea timu hizi kufungana 2-2 ni katika michuano ya miaka 50 ya uhuru.
Match nyingine kati ya timu ya TRA Kagera na Bukoba veteran,Pichani anaonekana meneja wa TRA akisalimiana na wachezaji
Kikosi cha Bukoba Veteran kilichofungwa 3-1 na TRA matokeo haya ni sawa na ya Madrid na Barcelona usiku wa jana
Michuano hii imemalizika kwa Timu ya Bukoba Veteran kuwa mshindi wa pili,Pichani ni timu kaptani wa Veterani Al Amin Abdul Amin(mnye nye)akikabiziwa zawadi ya mshindi wa pili.
Mdau Ndg Arutte Timu Kaptain wa TRA akipokea zawadi ya mshindi wa Kwanza.
Bukobawadau tunaomba samahani kwa habari hii kuchelewa kidogo na hii ni kutokana na matatizo ya enternet kwa siku mbili hizi..
Next Post Previous Post
Bukobawadau