Bukobawadau

wahitimu darasa ya Saba Happy English Medium

SHULE HII IKO UKANDA WA KIJANI NJE KIDOGO YA MJI WA BUKOBA MAENEO YA KYAKAILABWA
Picha ya wahitimi wakiingia ukumbini
Picha ya pamoja ya wahitimu darasa la saba mwaka huu 2011
Historia fupi ya shule na mafanikio yakitolewa na Mkurugenzi wa Shule Ndg Julius Pangani
Mwenyekiti wa Shule Mwalimu Veda Kyaishozi
Mchungaji Mushahala ndiye Mgeni Rasmi.
Wageni waalikwa kushoto ni Mdau Pascazia Barongo na wa mwisho kulia ni Mdau Mrishid.
Upande wa matukio alisimama Mdau Godfrey Mwemezi

.
Next Post Previous Post
Bukobawadau