Bukobawadau

AJALI YA MELI YA ITALIA NAIFANANISHA NA MV.BUKOBA NA INATUPA CHANGAMOTO ASA SERIKALI YETU NA AHADI ZAKE

Picha ya Meli iliogonga mwamba nchini Italia na kusababisha vifo vya watu kadhaa ambapo mpaka sasa watu wapatao watano wamepoteza maisha.Na Nahodha ya meli kutiwa nguvuni kwa kusababisha vifo pasipo kukusudia.
Next Post Previous Post
Bukobawadau