Bukobawadau

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr Diodorus Kamala aanda Misa ya Shukrani kijijini kwake Bwanjai

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi na mjumbe wa kamati kuu ya CCM , Bi Constancia Buhiye akimpongeza Dr Diodorus Kamala kwa kumpatia kadi maalumu baada ya misa ya shukrani aliyoiandaa baada ya kuteuliwa na rais Kikwete kuwa balozi wa nchi ya Ubelgiji, kulia ni mke wake Dr Diodorus Kamala.
Next Post Previous Post
Bukobawadau