Bukobawadau

BUKOBAWADAU KUTEMBELEA BWAWA LA SAMAKI LA RUHANGA FISH CULTURE


bwawa
Eneo hili lina jumla ya mabwawa 18 na zaidi ya tani tano zimeisha vunwa.
kitalu namba 4
J&B
Mmoja kati wa Wakurugenzi Ndg Bushira Hussen
Katikati ni msimamizi mkuu Ndg Muhumin.
Wageni mbalimbali ufika hapa kwa ajili Uvuvi,matembezi na Picnic
Hizi ni picha kipindi wachina wametembelea hapo.
Hii ni Sahihi ya Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda alipotembelea Ruhanga Fish Culture.
Kipindi Mdau Bushira yupo nchini Thailand kwa ajili ya mafunzo ya Uzalishaji samaki.
Next Post Previous Post
Bukobawadau