Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Mtoto Trace Kenny akiwa katika pozy na shangazi yake jina kapuni.
Mapacha wawili ma home boys kushoto ni Moussa na Abdul Bonge,hao ni wabishi wa town Bukoba mjini,ni Vijana wenye upendo na watu heshima kubwa hawana gogolo na mtu,vijana wa green cafe,wanatofautiana kwenye ushabiki wa soka la UK,mmoja ni Man U na mwingine ni shabiki wa VIBONDE Arsenal,ni wadau wa blog yetu na tunawakubari sana maana wanajua vitu,wapo current na mambo ya dunia,big up saana
Mdau Abdumalick Yunusu Mgogo wa Kishanda.
Mdau Muhammed Hussein Kichwabuta.
Next Post Previous Post
Bukobawadau