Bukobawadau

NANI KAMA MAMA?,Mdau Azizi Kichwabuta Amzawadia Mama yake Mchuma wa kazi!!!

Pichani ni Mama Johari Kichwabuta mbele ya gari aina ya Volvo alilotumiwa na mtoto wake Azizi Kichwabuta.
Volvo ikiwa imeegesha Nyumbani kwa Mama Johari Rwamishenye
Mtoto wa Mama Johari,Mdau Omary Kichwabuta mdogo wake Azizi Kichwabuta.
Mdau Omary Kichwabuta.
Ni raha tu!! anaonekana Dada Rahima Kichwabuta akifurahia.
Libeneke la mdau Aziz Kichwabuta akiwa Dallas,Texas Marekani. Bukobawadau blogspot tunakupongeza sana Mdau Azizi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau