Bukobawadau

BI KOKU MWESIGA (USA) AOMBA UONGOZI WA MANISPAA YA BUKOBA KUMSHIRIKISHA KATIKA SWALA ZIMA LA MAZINGIRA

Mdau Bi Koku Mwesiga(Mama George)akionyesha sehemu ya kazi yake.
Hizi pia ni baadhi ya seheumu ambazo amefanya kazi ya kupanda maua, miti, bushes, nyasi katika baadhi ya parks za miji midogomigodo nchini Marekani.

Mdau Koku anasema anayo Kampuni na mume wake,hivyo angependa sana japo apate nafasi ya kukutana na Viongozi wa Manispaa ya mji wa Bukoba akiwa na lengo la kujuwa wana malengo gani asa katika mchakato huu wa kubolesha mji wetu.

Pia amepongeza jitiada kubwa za bukobawadau blogspot kuwajulisha kwa kina kila kinachojili Mjini hapa na maeneo ya jirani.
Mdau huyu wa mazingira Mama George pichani yupo katika jitiada za kuwasiliana na Uongozi wa Manispaa ya Bukoba.
Bukobawadau tunasema Moja ya jambo kubwa sana Ulimwengu wa sasa ni kuyajali na kuyahifadhi Mazingira
Next Post Previous Post
Bukobawadau