Bukobawadau

HALI HALISI UWANJA WA TAIFA KABLA YA MPAMBANO WA YANGA VS ZAMALEKI MCHANA WA LEO

 Wadau wakiwa nje ya uwanja wa taifa tayari  kuingia ndani ya uwanja kuangalia mtanange kati ya Yanga na Zamalek

Kwa kawaida upinzani lazima uwepo, Camera yetu iliweza kushuhudia mashabiki wa simba wakiuza na kununua jez za Zamalek
 Wazee wa kazi nao wapo kuhakikisha usalama unakuwepo siku ya leo 

 Foleni la kuelekea uwanjani  Nje ya Lango kuu la uwanja wa taifa
 Muonekano wa uwanja wa taifa mapema mchana wa leo kabla ya mtanange huo

 Maofisa wa Zamaleki wakitoka kukagua uwanja kabla ya mechi


Wachezaji wa yanga wakiingia uwanjani kwa mbwembwe

 Mashabiki wa yanga wakiishangilia timu yao baada ya kuingia uwanjani

Mdau dawson raphael akiwa anakaribia lango kuu la uwanja.
Bukobawadau tutaweletea kila tukio litakalokua likitokea uwanjani leo.picha zote na mwandishi wetu Julius.
Next Post Previous Post
Bukobawadau