Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU HII LEO

Nakutana na mdau Jamaldin ofisi kwake.
Mdau huyu ni  wakala wa pikipiki aina ya Boxer na Bajaj mjini hapa 

 
   
Pia Jamaldin ni wasambazaji wakuu  wa maji Asilia yanayozalishwa mjini hapa.
Wapo mtaa wa haki
Barabara ya One Way
Simu ni 0752 925979
             0713 632922
Mtaa wa Rumumba(uswahilini ) hii leo
 
 HAPA NA PALE NA CAMERA YETU  HII LEO MTAANI


Next Post Previous Post
Bukobawadau