Bukobawadau

ORIGINAL COMEDY WAPAGAWISHA NDANI YA LINAS NIGHT CLUB USIKU WA JANA


Mpoki aka Rick Ross
 ELIZA BETTY katika pozi nae alikuwepo kwenye onyesho hilo



 Kutoka kushoto ni Mdau Mwinyi na Mr &Mrs Ruge Masabara
 Watu ni wengi  ndani ya Ukumbi wa Linas kiasi cha wengine kukosa kuona raha ya kuhudhulia

Mdau Mama Nice  akiteta jambo na wifi yake kulia ni Eunice Ruangisa akifatia na Mama Jamco Bi Jamila
Masanja  akisababisha miondoko ya  hiphop
Mashabiki wa Msanii Macregan wakicheza wakati  akiwajibika jukwaani.
Msanii Wakuvanga mzee wa (hivi kwanini) aka Baba Anduje kushoto na kulia ni  Macregan aka Mjombaaaa..!!!

Wasanii wa Original Comedy wakiwajibika
Macregan aka Kipara mzee wa Mjombaaaaaaa...!!!.tuendeleeee....!!!
 Masanja akitoa dole kwenye camera yetu ya BUKOBAWADAU BLOG
Home boy Mpoki aka bepari la kihaya aka Tajiri wa Dubai watoto wa mjini umuita Rick Ross.
 Wadau wakiserebuka taarabu na Original comedy mpango mzima ni kutikisa kiuno na kusugua kisigino
Watu nyomi ukumbini, kama unavyo jionea.
Mpenzi na shabiki mkubwa wa Bukobawadau  blogspot picha ni Mr& Mrs Shukuru.
Kushoto ni Mdau Ndg Deus Mava
Ndg Peter Ngaiza wa Kabanga Natural Spring water (kamachumu moja) katikati ni  JJ Mgango na mwisho ni Ndg Makoye

 Mdau Bi Hashira Ruttu katika hali ya umakini
 Dogo Evance hakuwa nyuma katika kupata kile alichokitaka kwa Usiku wa Jana.
Pozzy la dogo Kibabaha mbele ya Camera yetu  ifike mahala vijana nao wajuwe  kama hivi libeneke la bukobawadau
 Wadau wakifatilia tamasha linavyo endelea
Mashabiki wa Msanii Macregan wakicheza wakati  akiwajibika jukwaani.
 Mdau akifatilia  libeneke la Orginal Comedy katika kipengele cha ndoa ndoano kinachoelezea mambo mengi ambayo kwa namna moja ama nyingine yanatokea katika familia zetu
 Kijana mtata  Alex kushoto na Mr&Mrs Masauti nao ndani ya Nyumba

Next Post Previous Post
Bukobawadau