Bukobawadau

CAMERA YETU HII LEO NYUMBANI KWA MDAU NDG MWANDIKI;Ni kijijini Kamachumu hakika anastahili pongezi!!!!

 Hapa ni kijijini Kamachuma hii ni namna Mdau Ndg Mwandiki alivyoweza kujipanga nyumbani kwake kijijini hakika anastahili pongezi.
 Camera yetu ikiangaza Mwonekano wa  Jengo la msikiti wa kihistoria mjini kamachumu.
 Tunaridhika na namna Ndg Mwandiki alivyo buni mwonekano wa bustani  nyumbani kwake.
 Uzio wa Ukuta na Seng'enge ulio zunguka  eneo la Nyumba ya Ndg Mwandiki.
 Soko kuu la Mji wa Kamachumu
 Mwonekano wa Nyumba na bustani,hakika mdau huyu  anastahili pongezi.
 Home!!!sweet home!!
Kamachumu ni eneo lenye Wadau  wanaojitaidi kwa kuelimisha watoto wao.
Pichani niWanafunzi wa shule ya sekondari ya Rutabo wakirudi majumbani.

BUKOBAWADAU TUNATUMAINI TUTAUNGWA MKONO TUKISEMA HUYU JAMAA AMEJITAIDI SANA NA ANASTAHILI PONGEZI
Next Post Previous Post
Bukobawadau