Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Hali hii haijawahi kutokea mjini hapa kama sio msimu wa sikuku, Camera yetu imekuta umati huu nje ya Duka la Sadath Boutique
 Hapa anaonekana OMG  Sadath akiwa anawahudumia wateja wake kabla ya kuongea na Bukobawadau ili kujua kulikoni
 Kama upo maeneo ya jirani wahi sasa ufike Sadath Boutique kuna punguzo la bei za Viatu kwa wiki moja tu kuanzia jumamosi ya jana.
Wadau wakiendelea kuchagua aina mbalimbali za Viatu.
Mafuta ya kupikia ya Fortune yanapendwa sana kutokana ladha yake, na yana Vitamin A.
Kwa bei nafuu sana yanapatikana Kitwe shop waliopo mtaa wa tupendane mjini hapa, Mafuta haya ukifanya chakula kiwe kitamu zaidi.
Hakika mwekezaji huyu anastahili pongezi,ni ujenzi wa jengo la ghorofa nne unao endelea mjini hapa ni Mali ya Mdau Ndg Thadeo Mutembei,chini ya usimamizi wa Ndg Oter Rwebangira meneja wa Mutembei holding Co Ltd.
Next Post Previous Post
Bukobawadau