Bukobawadau

KIBWAGIZO CHA LEO

Dokta: Samahani nina habari mbaya, na nyingine mbaya sana  kwako 
Mgonjwa: Dah! haya nieleze hizo habari mbaya . 
Dokta: Majibu ya vipimo vyako yametoka. Inaonekana una masaa 24 tu ya kuishi.
Mgonjwa: MASAA 24 TU?!!!!, he sasa kuna baya zaidi ya hilo? Na hilo baya sana ni lipi?
Dokta: Nilikuwa nikupe hii habari jana, lakini tulikuwa kwenye mgomo.
'Weekend njema Ndg Wadau!!!'
Next Post Previous Post
Bukobawadau