Bukobawadau

NI AJABU NA KWELI;Kwa Wenzetu pia hali Inasikitisha...!!!

 Hii ni hali ya magari katika baadhi ya state kama gergia, kuntucy, alabama, mississippi  asa sehemu za mashambani utafiti unaonyesha kiwango cha umasikini kwenye hizo states kinatisha.

 Familia nyingi ni masikini wanaoishi kwa kupata (ware fare) yaani serikali inawalipa kiasi flani kwa mwezi,  inawapa nyumba pia health insurances.

Hivyo basi watu wengi wamebweteka kwa kile wanachokipata kutoka serikalini  na hawataki kufanya kazi kitu kinachopelekea hali  kama hii magari ya kuunga unga na mambo mengine mengi kama tutakavyokua tunajaribu kugusia kupitia bukobawadau blog.
Pande za North Colorina ambapo kizazi chetu cha black Amerika kimeenea toka enzi za utumwa, pamoja na kwamba watu wote wana haki sawa ila hali bado ni tete kama hivi katika picha!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau