AJALI JIONI YA LEO NA HAKUNA ALIYEJERUHIWA
Ajali hii imetoka jioni ya leo majira ya saa 12 ni kati ya gari aina ya Land Cruiser iliyokuwa imeegesha pembeni mwa barabara kugongwa na gari aina ya Toyota Raum
Gari lililogongwa ubavuni na kujibamiza kwenye ukuta wa Mghahawa wa 888.
Wadau wakisaidia kuisogeza Raum pembeni. Chezea Cruiser Mwonekano wa tukio zima | ||