Bukobawadau

BREAKING NEWWWWWZ;Maajabu yametokea Kijiji cha Nshamba-Kihumulo Wilaya ya Muleba bonge la barafu lenye ukubwa sawa na mpira ladondoka kutoka juu huku jua kali linawaka watu wanaanika mazao, Barafu hilo limebomoa Nyumba ya Mzee Baltazar Sindano maarufu kama (Mwalimu Sindano) na kwa sasa linaendelea kuyeyuka!!!!Bukobawadau tumeweza kuongea na Mama Sindano(Mama Tumaini)kwa njia ya simu kupitia 0763 274672 na kupata maelezo kwa Ufupi.!!!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau