Bukobawadau

HALI YA UWANJA WA TAIFA MUDA MCHACHE KABLA YA MECHI YA SIMBA NA AL-AHLY SHANDY YA SUDAN

Wachezaji wa timu zote mbili Simba na Al-Ahly Shandy wakipasha misuli.
Wadau na mashabiki wa Soka ndani ya Uwanja wa Taifa.

Mpaka mwisho wa mchezo huu Simba imeibuka. kidedea kwa 3-0
Next Post Previous Post
Bukobawadau