Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU NAKUTANA NA WABISHI HAWA!!!!

Camera usiku jana inakutana na wadau pichani wakiendeleza maisha kiwacha cha Victorious Perch Hotel.
Mdau Bushira  akimbeba Mtoto Caren Octavian kutoka kwa Mama yake Mrs Octavian.
Mdau Octavian Mutalemwa kulia na  Bi Edina Kahimbi(mrs Mutalemwa)Picha ya pamoja na Jamal (JAMCO)mdau Shaffi (kushoto)na katikati ni Ndg Bushira mwenye Mtoto.
Katikati ni Mdau Vicent Masabala.
Wakiwa ndani ya Warehouse ya United kingdom Mjini hapa maeneo ya  Machinjio ya zamani zilipo ofisi zetu za Bukobawadau Blog.
Kutoka kushoto ni Mdau Vicent Masabala, Mdau Ben Mulokozi na Mdau RMK.
Asubuhi ya leo katika Mghahawa wa Dollas nakutana na Wadau hawa wakipata Chai.
Jioni ya leo katika pita pita zangu maeneo ya Ufukweni.
Ni Mdau Kish Nehema na Ben Bennie Bennisho  jioni ya leo pande za Spice Beach.
Next Post Previous Post
Bukobawadau