Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU PANDE ZA MWANZA.

wadau hawa wamekutwa na kamera yetu wakiwa na majonzi jijini Mwanza,kufatia kifo cha mpendwa wao Kanumba,wanaonekana wakiwa na Tshirts za picha ya marehemu Kanumba kifuani

kutoka kushoto anaonekana Mama Frank ,Dada Janila na baby White na ni wadau wetu wakubwa.


 Bukobawadau blog tunawapenda na tunaungana nao kwenye majonzi haya!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau