Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Camera yetu hii leo ikiwa maeneo ya stand ya mabus tunakutana na kijana huyu mlemavu ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Bunena iliopo kata Bakoba ndani ya manispaa ya mji Bukoba.
Kwa utulivu mkubwa akajaribu kuongea mawili matatu juu ya maisha yake,akidai yeye ni mwanafunzi wa darasa la nne na anahishi na Wazazi wake maeneo ya bandarini, Sitotaja majina yao kwa sababu flani flani.
Na baada ya kumuhoji ni kwa nini hawapo shuleni  wapo  mtaani ,?Alijibu "kila mtu anatafuta riziki kimpango wake" na  baada ya jibu hilo ameona kama vile namwekea usiku akamwamru mwenzake wachukue kasi akimaanisha waondoke zao!!!!
 Tukaagana  kikwetu na huku akisikitika mdau sikumwachia chochote ..!!!!
Haoooo..! wakiendelea na swagar za kukata mitaaa ndani ya Manispaa ya bukoba mda wa shule hawana kabisa...huyo mwenzake ata kiswahili  awezi!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau