Bukobawadau

KOMPANY AIPAISHA MAN CITY KILELENI-FERGUSON APANIKI MAPEMA NA KUCHANGANYIKIWA,HISTORIA YA KUTOKUPOTEZA MECHI UWANJA WA ETIHAD YAENDELE!!!!

Bao safi la kichwa la Kompany laipa ushindi wa 1-0 Man City na kukalia usukani wa ligi kuu ya England kwa tofauti ya magoli 8 dhidi ya Manchester United  ikiwa imebakia  michezo miwili tu kumalizika kwa msimu
Ni hali ya kuchanganyikiwa  kwa Sir Alex Ferguson  na kuanzisha zogo kwa kocha wa Man City Roberto Mancini's na kumtoa katika hali ya mchezo na kufanya wapinzani wake kupata ushindi wa  bao 1-0 lililopatikana kipindi cha kwanza, ni kichapo cha Nyumbani na Ugenini  na ni historia nyingine nzuri kwa kocha  Mancini's kutokupoteza mechi katika uwanja wake wa  Etihad!!!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau