Bukobawadau

MAHAKAMA KUU KANDA YA ARUSHA IMEMVUA UBUNGE MH.GODBLESS LEMA.

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema avuliwa ubunge na Mahakama kufuatia kilichoelezwa na Mahakama kwamba ni ukiukaji wataratibu za uchaguzi, ikiwemo matumizi ya Lugha za matusi.


Lema amegoma kukata rufaa...amesema hataki kuwa Mbunge kwa njia ya rufaa na amesema anaweza kugombea tena hivyo anajiandaa kwa ajili ya Uchaguzi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau