Bukobawadau

SHOW YA GONGA MTAA YAWATIA UCHIZI MASHABIKI WA ROMA USIKU WA JANA.

Msanii Pentagon aka Roma aka Mkatoliki aka Pastor aka Mtanzania mzee wa kidole kimoja hewani hapa akiwajibika jukwaani.
Msanii wa Hip hop nchini Tanzania Roma Mkatoliki mwenye Panch za kipekee akiwapagawisha mashabiki wake katika Onyesho lililofanyika usiku wa jana ndni ya ukumbi wa L inas Night Club.
Utampenda zaidi Roma Jukwaani hakika anaelewa vyema ni nini mashabiki wake  wanakihitaji kwa muda huo!!!!!
Ni noumar  mazee!!!!
Mdada shabiki wa kwanja za Hip hop akipagawa na Tshert  aliyotupia mshkaji yenye maneno "I LOVE HIP HOP" hapa kazi hipo...
OMG Dulla wa pili kutoka kushoto na Mdau Mbaule wa Kasibante Fm Radio wakifatilia Drop za mtu mzima Roma Mkatoliki
Mc wa Onyesho hili ni Mr Chapa ilale aka Aman aka Kambuga  akisaidiana kwa Ukaribu na Dj Hannaf wa Linas Club.
Muandaaji wa Onyesho hili Dj Max akiteta jambo na Roma.
Wasanii wa Hapa Nyumbani walio msindikiza Roma
Miss Odetha Mdau mkubwa wa libeneke hili akimtunza Msanii
Swager Cont.
Kushoto ni Msanii Kush homeboy kitaa kimoja na mzee wa nikubalie mtoto Vumbe wa Kigoma.
Wadau uliojitokeza kwenye show.
Msanii Vumbe.
Roma uku akiwa amejifunga kitambaa Cheusi mkononi kufatia Kifo cha Msanii Kanumba...
Kizazi cha bongo Flava katika kuwakilisha.
Wanyamwezi wakifatilia Onyesho hili la kigumu.
Mshkaji yupo Vizuri sana...

INAENDELEA......
Next Post Previous Post
Bukobawadau