Bukobawadau

SIKU YA MIGOMBA DUNIANI-KAGERA (MATUKIO YA PICHA)

Mkuuu wa mkoa wa Kagera Mheshimiwa Massawe akisikiliza maelezo kutoka kwa Wataalam wa migomba kwenye shamba la migomba la Mubuhenge Mugoma Wilayani  Ngara
Hizo ni ndizi aina ya PHIA unaweza kujionea zinavyostawi katika Mkoa wa Kagera
Mhe. Massawe Akitembelea mabanda kujionea wajasiliamali wanavyonufaika na zao la ndizi kwa kutengeneza bidhaa mbalimbali zinazotokana na ndizi
Next Post Previous Post
Bukobawadau