Bukobawadau

TAMASHA LA ZINDUKA LAENDELEA HII LEO MJINI HAPA;Shule za Bukoba Sekondari na Maruku zashirIki kikamilifu

Anaonkana Msanii Mwasiti (kushoto)ambaye ni Balozi wa  zinduka taifa akiwajibika.
Mwasiti akiwaamasisha vijana katika kampaini ya kutokomeza marelia ijulikanayo kama 'ZINDUKA'
Tamasha hili limefanyika katika viwanja vya shule ya sekondari ya Bukoba.
Wanafunzi mbalimbali  wakionyesha michezo yao ktika tamasha hili.
Anaitwa Balle,ni kijana mwenye kipaji cha utangazaji kwa sasa anawakilisha vyema katika studio za Radio Kasibante ya mjini hapa na ni mcheza filamu,leo hii anaonekata katika action tofauti na 'Zinduka'
Sakata la kucheza kiduku asikwambi mtu style nyingine lazima ubaki tu!!!
Sanaa na michezo mbalimbali ni njia sahihi ya kufikisha ujumbe katika jamii.
Ndg Genos Martin ambaye ni Meneja mipango wa Tht akiongea na mwanahabari wetu.
Mabalozi wa Shule wanachama wa zinduka katika picha ya pamoja na Balozi wa zinduka Taifa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwasiti.
Picha ya pamoja kati ya walimu ,waandishi wa habari na Balozi wa ZINDUKA
Next Post Previous Post
Bukobawadau