Bukobawadau

BODI YA USHAURI YA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA YAZINDULIWA HII LEO.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Balozi Khamisi Kagasheki akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa kuzindua bodi ya ushauri na wakala  wa huduma za misitu  Tanzania (TFS) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Maliasili na Utalii.Kulia ni ni Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyalandu na kushoto ni katibu mkuu wa Wizara hiyo Maimuna Tarishi
Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa katika ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya wakala  wa huduma za misitu Tanzania.

Picha kwa hisani ya Michuzi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau