Bukobawadau

CAMERA YETU PANDE ZA MUTUKURA JIONI YA JANA.

Msimu wa kahawa ni kawaida sana uwa zinahanikwa asubuhi na kuanuliwa jioni anaonekana Mtoto huyu akiwajibika  na zoezi hili la kuanua kahawa jioni ya jana.
BUKOBAWADAU hatukujua kama ni ajira hatarishi kwa watoto au ni kazi za nyumbani kusaidia wazazi katika kukuza kipato baada ya muda wa masomo
Mtoto huyu ufika wakati na kupumzika kidogo huku akivuta kasi na kitendea kazi chake mkononi.
Mtoto huyu aliyetambuliwa kwa jina moja tu la Sister Du Kayoyo akiwa kwenye pozi zito baada ya kazi.
Kazi na dawa ni sawa na urembo na tabasamu, Bi Kiyoyo akiwa ndani ya tabasamu pana baada ya kukamilisha zoezi la kuanua kahawa kama alivyokutwa na Camera yetu.
Mdau Sudi Karatasi alipata bahati ya kupiga picha  na Bi Kayoyo

Kahawa ni moja ya zao kuu la biashara mkoani kagera. mkoani kagera  
Next Post Previous Post
Bukobawadau