Bukobawadau

EVANS BUKUKU'S COMEDY CLUB ILIVYOWABAMBA MASHABIKI NDANI YA NYUMBANI LOUNGE JIJINI DAR ES SALAAM

Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akifanya vitu vyake ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wageni waliojitokeza kushuhudia.
 Wadau wakifuatilia kwa ukaribu.
 Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akiwa pamoja na Enika wa kundi hilo wakionyesha maujuzi yao ya kuimba. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Next Post Previous Post
Bukobawadau