Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Nikiwa mitaa ya Wenger Saloon nakutana na Mdau wa Nshamba ni kaka mkubwa wa Wilson Mashilingi (kulia )anajulikana kama Mdau Venant Mashilingi na kushoto ni Mzee Jimmy.
 Majengo ya mji wetu katika hali ya uchakavu wa mapaa.
 Hii ni hali ya stend kuu ya Mabasi  ya Manispaa ya Mji Bukoba.


Washikaji wakifatilia mechi ya kirafiki
Hekaheka za Side boy kitaani.
Mwanamama  huyu pichani nimekutana nae akiendeleza zogo mtaani  bila sababu yoyote kikubwa analalamika juu ya hali ya ukata
Alifunguka ile mbaya uku akizungukwa na kundi kubwa la watu kwa ufupi nilimsoma kama mpambanaji na mfatiliaji wa mambo ya kisiasa yanayoendelea nchini.
Jitiada za Manispaa kuweka sawa miundombinu zinaendelea.
Next Post Previous Post
Bukobawadau