Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Kabla sijajua kisa cha valangati hili kwanza ni kucheza na Camera...
Mdau akitembezewa kichapo chenye mchanganyiko wa Matusi
Ni bongo la fearturing aka Kyankomela
Kisa ni  kwamba kijana mmoja  "mtanashati" aliyejichanganya mtaa wa Wamachinga waliopo barabara ya Government mkabala na msikiti wa Jamia.
Alionekana akitokea Nyuma ya Vibanda vya machinga hao,ndipo machale yalipowacheza na ikatokea hali ya sintofahamu na kuanza kumhoji  ni wapi anatokea na baada ya  kijana huyo kukosa jibu sahihi ndipo  akatembezewa kichapo kikali kutoka kwa Machinga hao.
Next Post Previous Post
Bukobawadau