MKONGA WA MAWASILIANO WAENDELEA KUTANDAZWA MJINI HAPA
Mtambo wa kuchimba na kutoboa njia za kutandaza kebo za Mkonga wa mawasiliano ya Internet
.
Shughuli ya kutandaza mkonga huo ikiendelea na mradi huu ukikamilika hadithi za mambo hayaendi zitasahaulika asa kiutendaji.
Wataalam wa kuunganisha kebo za mawasiliano wakiendelea kutandaza mkonga wa TTCL chini ya ardhi kuelekea ofisi za wizara ya kazi na maendeleo ya Vijana zilizopo Mtaa wa Miembeni Mjini hapa.