Bukobawadau

PITA PITA ZANGU NDANI YA CLUB LINAS USIKU WA JANA

Nikiwa katika   picha ya pamoja na mwanahabari Jerry Mulo hii ni katika kutekeleza ilani ya mahusiano.
Anaoneka Jerry Muro  akiwa na wadau Mr Mtensa kushoto na Ndg Delick ( kulia)
Kulia ni Mdau Gidion.
  Jamaa mbalimbali wakiendeleza maisha usiku wa jana ndani ya Club Linas
Nikiongea na Jerry Muro kikubwa alichokisema  ni kwamba amekuja Bukoba Ukweni.
Next Post Previous Post
Bukobawadau