Bukobawadau

KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA (RCC) MKOANI KAGERA.

  • Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe akiwahutubia wanakamati wa kikao cha maendeleo mkoani kageraa.Mh. Massawe amesema wananchi wanakiu ya maendeleo sio siasa.
  • Kusifia  Manispaa ya Bukoba kuwa ya tatu kitaifa kwa usafi na kakubali Ombi la  manispaa ya Bukoba kuwa siku ya usafi ijulikane kama Massawe Day.
  • Katoa wimbo kwa kaya zote mkoani kagera kuendeleza kilimo cha umwagiliaji.
  • Kila mkuu wa Wilaya inabidi awe awe na shamba la mfano ili wananchi anao waongoza waige mfano.
  • Serikali imedhamilia kutoa mikopo mingi kwa wakulima ili kuendeleza kilimo kwanza hasa kwa kuwatumia vijana.

Wajumbe wakisikiliza kwa umakini.

 Mh. Meya Anathory AmanINAENDELEA HIVI PUNDE....
Next Post Previous Post
Bukobawadau