Bukobawadau

MISS INTER -COLLEGE 2012 APATIKANA NI JOSEPHIN WINFRED-MJINI CHUO KIKUU YA KHADJA KOPA YAWATEKA MASHABIKI WA MWAMBAO MJINI HAPA

Mshindi wa Miss Lake Zone Inter-College 2012  Josephin Winfred katikati,na mshindi wa pili  kushoto na mshindi wa  tatu Enfilda Clemence kulia.
Top 5 katika picha ya pamoja mara tu baada ya Josephin kutangazwa mshindi.
 Jaji mkuu ni Aunt Dina wa Dina fashion akitangaza mshindi
 Kupia bukobawadau tunaendelea ku upload matukio zaidi Ivyo usicheze mbali kila baada ya muda
 Vazi la ubunifu.
Katika kuonyesha kipaji cha uchezaji.
 Mdau unaambiwa Tenaaaaaaaaaaaaaa, Wembamba sio hoja, hoja vitu na kuwa mjini sio kuwa na simu unaweza ukawa na simu na usipigiwe wala kutumiwa meseji!  sio maneno ya Mc ni  maneno ya Bi Khadja....!!!!
 Bukobawadau blog na wadau wenyewe katika swala zima la flash naweza kusema hiki kwetu ni mafanikio!!!
Mpango wa mahudhulio ni zaidi ya darasani!!!
 Msanii Msomi Jimmy Yeyoo.
 Wana katika picha ya pamoja.
 Uncle Bocko kama kawaida...!!
 Camera yetu ikitupia Flash kwa wadau mbalimbali.
Anaitwa Van Vannessa aka Cheusi Mangala   kila nikikutana naye tu ni flash!!!!
 Wadau pichani ni Bi Noela na Bi Enjoy wakifuatilia mchuano huu.
 Meza ya majaji wakiongozwa na Dina Fashion (katikati)muandaji wa Miss Utalii Kagera  kwa mwezi ujao
 Warembo katika kivazi
 Mshindi wetu namba tatu  katika vazi la ubunifu
 Swali likijibiwa na mshiriki.

 Hakika shughuli ilikua si polepole...!!!!
Mshindi wa shindano hili.
Amani Kabuga mmoja kati ya Ma mc's wanao  kuja kwa kasi mjini hapa,achilia mbali akina Baba Anasi!!!!


UNARUHUSIWA KUSHARE KWA RAFIKI YAKO!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau