Bukobawadau

MKUU WA MKOA WA KAGERA MH. FABIAN MASSAWE NA ALHAMISI YA USAFII

Camera yetu asubuhi ya leo imeendelea kumshuhudia Mh. Massawe akiendeleza juhudi za kuakikisha usafi inatekelezwa kwa kila kaya.
 Mh. Massawe katika swala zima la alhamisi ya Usafi Mkoani hapa.
Hapa ni kati ya makutano ya barabara ya Uganda na njia pando inayoelekea Buyekera , Wanaonekana vijana wa eneo hili wakiwa kikazi zaidi Chini ya usimamizi wa Mh. Mkuu wa Mkoa Kanal. Fabian Massawe.
 Gari linalohusika na Uchafu unaokusanywa.
Pongezi moja kwa moja kwa Mh. Massawe kwa kuendeleza mchakato huu wa usafi wa mazingira mjini hapa.!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau