Bukobawadau

WADAU WAMPOKEA MH.WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII BALOZI HAMIS SUED KAGASHEKI UWANJA WA NDEGE MJINI HAPA


 Ni majira ya saa kumi alasili Ndege aliyoikodi Mh. Waziri Kagasheki inawasili  Mjini Bukoba.
Mh.Waziri wa Maliasili na Utalii Barozi Hamis Sued Kagasheki anapokelewa na Mh.Robert Bahati mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bukoba Mjini,pembeni anaonekana Mchumi wa CCM wilaya Ndg Philbert Nyerere.
Mh. Kagasheki akisalimiana na Mh. Meya Anathory Amani
 Mh.Waziri akisalimiana na Mdau Abba Sued Kagasheki.
 RCO Peter Matagi akimkaribisha Mh.Waziri wa Maliasili na Utalii Barozi Kagasheki.
Mh. Waziri akipokea shada la Maua kutoka kwa Bi Joyce Lubozi.
Anaonekana Sheikh Mustapha akimlaki Mh.Waziri Kagasheki
Sheikh Haruna Kuchwabuta SHEIKH wa Wilaya ya Bukoba Mjini akimpokeza Mh. Waziri Kagasheki ikiwa ni Ziara yake ya kwanza toka achaguliwe kuwa Waziri.
Ndg Richard Leo Meneja wa 88.5 Kasibante FM Radio Bukoba akisalimiana na Mh. Waziri.
Anapongezana na Kijana swahiba yake Mdau Amini Idrisa (kashai moja)!!!!
Ikiwa hii ndio picha yetu ya leo anaonekana Ndg Jumanne Bingwa akiteta jambo na Mh. Waziri Kagasheki  wakiongozana kuelekea katika Ofisi za Uwanja wa Ndege.

 MAPOKEZI YAKIENDELEA NJE YA UWANJA WA NDEGE


 Balozi akitoka ndani ya Ofisi za Uwanja wa Ndege
Wadau wakisalimiana na Mh. Waziri wa Maliasili na Utalii Barozi Hamis Sued Kagasheki muda mchache
baada ya kutua uwanja wa ndege Mjini hapa.Pichana anaonenekana Mzee Juma Idd Kikwemu(kushoto) Haji Adamu Sued aliyeshikana nae mkono, mwenye kanzu ni Mdau Salum Mawingo akifatiwa na Omary Kazinja, Dokta Edward na wadau wengine.
 Mdau Uncle Sadick katika kumpongeza Mh. Waziri Kagasheki.
Mdau pichani ni Haji Hadamu , Baba mdogo wa Balozi Kagasheki  na nyumba wanaonekana Uncle Majid Kichwabuta na Kaka Mkuu.
Anaonekana Mwl. Bishanga (kushoto)na Mrs Adventina Matungwa Mkurugenzi The Walkgard Hotel & Tours

Pembeni ni Ndg Kambuga akiwa sambamba na Mh Balozi  katika kusalimiana na Wadau, mwenye Kijani ni Mh. Chief Kalumuna diwani wa kata ya Kahororo akifuatiwa na Dogo Khalid.
Mh. Balozi Kagasheki akisalimiana na Mdau Janath Mussa, akifuatiwa na  Bi Afisath Kazinja.
 Mzee Muyoza akisalimiana na Mh. Waziri.
 Mdau Ashraf  Kalumuna.

 Baada ya Mapokezi Uwanja wa Ndege Mh. Waziri Kagasheki alielekea katika Ofisi za CCM Mkoa.

 Mh. Waziri Kagasheki akisaini kitabu cha Wageni Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mama Cositancia Buhiye akimkaribisha Mh. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamis Sued Kagasheki
Mh.Balozi akiongea na  baadhi ya Viongozi wa CCM.
Bi Janath Mussa  Katibu wa Wilaya ya Bukoba Mjini akimkaribisha Balozi Kagasheki kuongea na Wadau nje ya Ofisi ya CCM Mkoa,kushoto ananaonekana Mdau Jumanne Bingwa.
Mh.Waziri akiongea na Wadau.
Wadau wakiwa na kiu kubwa ya kumsalimia na kumpongeza Mh. Waziri Kagasheki.
Mh. Balozi uso kwa uso na Blogger wa Bukobawadau.
Mh. Waziri  wa Maliasili na Utalii  Balozi Kagasheki akiongea  na Mdau Mc Baraka  na kumpongeza juu ya juhudi  za kuendeleza libeneke hili,Mh. Waziri Kasema yeye ni mfuatiliaji mkubwa wa mtandao wa Bukobawadau.

MH.WAZIRI KAGASHEKI KESHO ATAKUA NA MKUTANO WA HADHALA UTAKAOFANYIKA KATIKA  VIWANJA VYA UHURU(MAYUNGA)!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau