CAMERA YETU PANDE ZA KIGALI RWANDA -WADAU KATIKA KIKAO CHA HARUSI YA MDAU UWASE MARIAM KABENDERA SHINANI
Marafiki wa Bi Mariam wakiwa katika kikao kilichofanyika nyumbani kwao Usiku wa jana.
Marafiki wa karibu wa familia ya Kabendera Shinani waliohudhulia kikao cha kwanza cha maandalizi ya harusi ya Mdau Uwase Mariamu Kabendera anaetalajiwa kuolewa hivi karibuni .
Kushoto ni Bi harusi mtarajiwa Uwase Mariam Kabendera ni Mdau mwenzetu kwa sasa yupo Nchini Rwanda kikazi ni mtangazaji wa Contact Fm Radio inayosikika kutoka Kicukiro Kigali Rwanda.
Ndg wa familia pichani anaonekana Mdau Dada(Mama Shiva)Kabendera mwenye mtoto akifuatilia ajenda za kikao na kwa hapa mjini Bukoba tayari vikao vinaendelea kila siku za Jumapili katika viwanja vya Bukoba Club.
Kulia namtambua kama Shemeji, na ninachoweza kusema kwake ni kwamba Jiko hilo amepata ashindwe mwenyewe kupika.!!!

BUKOBAWADAU BLOG TUNAWATAKIA MAANDALIZI MEMA NA TUPO PAMOJA NANYI!!!