Bukobawadau

FAMILY DAY YA WADAU WA TBL KAGERA YAFANA


Sherehe ya family day ya wadau wa TBL Kagera iliyofanyika jana jumamoso kwenye fukwe za Hotel ya Bukoba Coop Hotel, pichani anaonekana mshereheshaji wa shughuli nzima mdau Kahabuka
Manzali ya kiwanja hiki.
Utambulisha ulianza na Ndg Richmond Raymond ambae ni  meneja wa kiwanda cha Tbl Mwanza(plant manager)
Emanuel Cristopher (HR Business Parter) meneja  rasimu watu wa Tbl Mwanza akijitambulisha.
 Bi Ester Masala kutoka Tbl Mwanza.
Silvester katika utambulisho.
Tukio lililofuata ni kufungua 'Champagne'
Mdau Bundala Tbl bukoba mara tu baada ya kufungua 'Champagne'
Kila mdau alimiminiwa katika glasi yake.
 Kwa pozi anaminiwa  Ndg Emmanuel Cristopher
 Anaonekana mwenye furaha Mama Kayangi
Ni zamu ya mwanadada Silvia Lubozi
 Wadau kwa pamoja wanagonga Cheers!!
 Muda wa kupata msosi.
Muungwana George Bundala akipata  kinachostahili

Kutoka Tbl Mwanza  mdau Bi Mtwara Alpha akipata chakula.
Wadau wakiendelea kujihudumia.
 Mdau  Ndg  George Lwakurwa akipata msosi  pembeni ni mdau Bi Halima na Mdau Bi Ester Masala
Mmmh na hivi blogger wenu bado bachela mialiko basi itamkoma!!
 Shughuli ya kupata msosi ilikua pevu kwa mdau Mbanda Edward.

BAADA YA CHAKULA  IKAFUATIA BURUDANI
 Burudani ilifunguliwa na Bi Halima na Ndg Robart Gablier(katapila)
Ni bonge la shoo iliyowafurahisha wadau waliohudhulia
 Bi Neema na Mdau Henry Patrick  (mzee wa mbio)
 Wadau watano wakishindana  kwenye mchezo wa kukimbia.
Mtu Chali.
Silvester Nkyambi akiwa mbele kabla ya kupoteza nafasi kwa  mshindi Henry Patrick( kulia).
 Upande wa kuvuta kamba waliochini waliwashinda waliosimama.
 Analetwa kuku tayari kwa shindano la kumkimbiza kwa wanaweka na uki
Mshindi wa kukimbiza kuku akiwa na zawadi yake mkononi
 Kama kipa anavyo rukia  mpira  ndivyo alivyokamatwa kuku na mshindi kwa wanaume Mdau Mzee Robart.
Shindano la kukalia kiti  anaonekana Ester Masala akiwa nje ya mpambano.
Mpaka mwisho mshindi ni mmoja nae ni Silvia.
Upande wa wanaume mchezo ukiendelea.
Mambo ya kwa Mzee Madiba ,mambo ya kwaito.

KUPATA MATUKIO ZAIDI GONGA NENO OLDER POST KULIA KWAKO KWA CHINI
Next Post Previous Post
Bukobawadau