Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Mdau Abdulrazak Byabusha katika picha ya pamoja na Dk. Kiiza Besigye wakiwa Nchini Uganda pande za Mbarara
 Wadau wakiendelea na chakula,kwa mbali anaonekana Mdau Abdulwakir na Bi Jeanifer.
Mdau Dk Abas Byabusha akutana na Blogger Mc na kupata picha za kumbukumbu.
 Wadau wakutana kitaani na kupeana hizo kama uonavyo.!!!
Bukobawadau Blog katika kutekeleza ilani ya mahusiano na wadau.!!
Mdau akiteta jambo na mlezi wa Bukobawadau Blog.
.
Next Post Previous Post
Bukobawadau