Bukobawadau

MDAU MAHAFUDHI ABDULMARICK APONGEZWA NA WAZAZI WAKE BAADA YA KUREJEA MASIKANI AKIWA NA MKE IKIWA NI BAADA YA MIAKA 10.

Ni dua ya kumpongeza mdau Mahafudh Abdulmarick Kalugira pichani  baada ya kurejea  nyumbani akiwa tayari kapata mke katika hifadhi yake.
Mdau Mahafudhi akiwa na Mkewe picha ya pamoja na Mama yake mzazi.
Dua imeongozwa na Ustaadhi Omary (Kushoto) pembeni ni Mdau Bashir.
.
Kama ilivyo kawaida penye dua pana maakuli.
 Mzee Hadam(kabare moja hiyo)akipata msosi, pembeni ni Mdau Badlu na Uncle Nurag.
Wadau wakiendelea kupata maakuli,picha ya juu anaonekana Dogo Evody akijishughulisha mwenyewe kupata maakuli.
 Mdau Mahafudhi katika picha  na wazee wake, kushoto ni Baba yake Mzee Mzee Abdulmarick Kalugira (katoro line),picha ya juu wanaonekana watoto wawili wa mdau Mahafudhi ambaye kwa sasa yupo mjini Mbeya kimaisha ikiwa ni miaka kumi.
 Ajath Nusurath Nurag pichani na mwanae Shamim.
Kulia ni Ajath Jamil na mwanae pembeni


BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA PONGEZI KUBWA NA ONGERA KWAKO MDAU MAHAFUDHI!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau