Bukobawadau

MISS REDD'S KAGERA 2012 APATIKANA NI BABY LOVE KALALA

 Shindano la kumtafuta Miss Redd's Kagera 2011 limemalizika na Miss Baby Love Kalaa(katikati)kuibuka mshindi
 Mshindi wa pili katika shindano hili ni Miss Juliana Robinson wa mwili waliosimama.
Miss Anitha Zimbihile aliyewahi kupata taji la Miss Kagera kipindi cha nyuma akilivua taji   na kumvisha mshindi  wa mwaka huu.
 Mkurugenzi wa Rwelu Intertainment ambao ni waandaaji wa Onyesho hili Ndg Muhasa (kushoto)picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mh. Meya Anatory Amani
Kushoto ni Chief Judge Mr Omary.
Katika shindano la kuonyesha kipaji  ameibuka kama Miss talent.
Mwonekano wa warembo katika mavazi mbalimbali
 Matukio ya Miss Redd's Kagera kupitia bukobawadau blogspot ni rukhsa kushare habari zetu kwa rafiki yako  popote pale pia waweza kutupata kwenye twitter @bukobawadau  au @Dj cool Mc
Wadau wakifuatilia kinachoendelea ukumbini.
 Mr Edgar Lutalaka & the former Miss Tourism  Tanzania 2006
 Mwanadada na Kiongozi wa Kundi la Obssesion akifanya makamuzi jukwaani
Ni kundi la Obsession kutoka nchini Uganda wakiwajibika ipasavyo!!!!
 Msanii Afisa Kazisha,mama wa presha akitoa burudani.
Shabiki akifurahia makamuzi ya Msanii Afisa Kazinja.
Mdau Jamila wa Jamco akikoga nafsi yake
 Burudani ya aina yake kutoka kwa Msanii Mkongwe Afisa Kazinja.
Wahudhuliaji walivyo tokelezea!
 Matumizi adhalani
Japo kua ni kinyume cha maadili but they look attractive!
 Msimamizi na mratibu wa shughuli nzima ya Miss Redd's Kagera 2012 Mdau Jamal Jamco Kalumuna akitoa angalizo.
Hilary & Tahiya
MWISHO 

PITIA OLDER POST KUPATA MWENDELEZO WA MATUKIO YA WEEKEND HII


Next Post Previous Post
Bukobawadau