Bukobawadau

SHEREHE ZA UFUNGUZI WA OLYMPICS LONDON 2012 KATIKA PICHA

Hivi ndivyo zinavyo onekana kengere za Olympic 2012
Kundi lililo ongozana na msafara wa Malkia
 Msanii  Dizzee akisababisha jukwaani,binafsi sikumjua Msanii huyo mapema mpaka baada ya kusikiliza kwa umakini performance ya nyimbo zake kama the power aliyomshirikisha East young ama kwa hakika jamaa anaweza.
 Michezo mbalimbali ikiendelea
 Sehemu ya vijimambo  toka kwa  MCHEKESHAJI maarufu ulimwenguni  Mr. Been ikiwa ni live .
 Burudani
 Malkia na familia yake

Ishara ya kuashiria amani na upendo
Devid Bekham kama nahodha wa boti ya mwenge wa Olympic 2012
 Hivi ndivyo kilivyo kikosi cha Tanzania
.Meya wa Jiji la London Boris Johnson akiwa na mkewe Bi  Marina wakifurahi michezo mbalimbali inayoendelea  katika uwanja wa Olympic..
 Kundi la watu 50 lilitumbuiza na kumaliza kwa staili ya NGOMA kuonekana kama jua likichomoza.
 Watu na mataifa yao
 Mahudhulio si polepole.

 Umahiri katika midundo

Picha hii ni kielelezo cha ujemedali.
 Hii ilihusiana na maswala ya huduma za kwanza  kiujumla mambo ya hospital.
 Kengere ikiendelea kuashiria tukio
 Kundi la wacheza inema maharufu
 Uzalendo wa rangi zao wamerekani
Next Post Previous Post
Bukobawadau