Bukobawadau

CAMERA YETU NDANI YA OFISI YA MDAU MPAMBAMBANAJI MWANABUKOBA

Mdau mwanabukoba mwenzetu akiwa ofisini kwake
Kabla ya kuingia ofisini nakutana na mlinzi ikamlazimu kufanya mawasiliano kwanza


Mdau kama alivyo kutwa na camera yetu
Tukiwa katika kuangaza pande mbalimbali katika ofisi
Ofisi ni jengo la ghorofa na hizi ni ngazi za kuelekea kunako husika.
Mdau mwanabukoba akiwa kachill ofisini kwake.
Ofisi hii ipo katika kila kiwango kinachostahili
Utulivu mkubwa nje ya bakoni
Sehemu ya mapokezi
Mdau Michael akionyesha kuafiki na kuinamisha kichwa chini.


Next Post Previous Post
Bukobawadau